https://sw.abna24.com/xgKqJ21 Oktoba 2024 - 12:47 Msimbo wa Habari 1496788 service Habari Muhimu Kurasa kuu service Habari Muhimu Habari Pichani | Maandamano ya Wacanada katika kuunga mkono Taifa la Lebanon na watu wa Gaza 21 Oktoba 2024 - 12:47 Msimbo wa Habari: 1496788 Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Ahlul_Bayt (a.s) - ABNA - Kulifanyika maandamano ya kuunga mkono Taifa la Lebanon na watu wa Gaza na kulaani jinai za utawala wa Kizayuni, kwa kuhudhuriwa na makundi mbalimbali ya watu wa Canada katika nchi hii.